Mwanzo 11:28
Genesis 11:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tera alipokuwa bado hai, Harani akafa huko Uru ya Wakaldayo, nchi alimozaliwa.
Genesis 11:28 in English
Genesis 11:28 · Berean Standard Bible
During his father Terah’s lifetime, Haran died in his native land, in Ur of the Chaldeans.
Context
26Tera alipokuwa na miaka sabini, akamzaa Abramu, Nahori na Harani. 27Hawa ndio wazao wa Tera.
Tera aliwazaa Abramu, Nahori na Harani. Harani akamzaa Loti. 28Tera alipokuwa bado hai, Harani akafa huko Uru ya Wakaldayo, nchi alimozaliwa. 29Abramu na Nahori walioa. Mke wa Abramu aliitwa Sarai, na mke wa Nahori aliitwa Milka; Milka na Iska walikuwa watoto wa Harani. 30Sarai alikuwa tasa, hakuwa na watoto.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.