Mwanzo 11:30
Genesis 11:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sarai alikuwa tasa, hakuwa na watoto.
Genesis 11:30 in English
Genesis 11:30 · Berean Standard Bible
But Sarai was barren; she had no children.
Context
28Tera alipokuwa bado hai, Harani akafa huko Uru ya Wakaldayo, nchi alimozaliwa. 29Abramu na Nahori walioa. Mke wa Abramu aliitwa Sarai, na mke wa Nahori aliitwa Milka; Milka na Iska walikuwa watoto wa Harani. 30Sarai alikuwa tasa, hakuwa na watoto. 31Tera akamchukua Abramu mwanawe, Loti mwana wa Harani mwanawe, na Sarai mkwewe, mke wa Abramu mwanawe, wakatoka kwa pamoja katika Uru ya Wakaldayo kwenda nchi ya Kanaani. Lakini walipofika Harani, wakaishi huko. 32Tera alikufa huko Harani akiwa na miaka 205.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.