Native Bible

Genesis 11:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tera alikufa huko Harani akiwa na miaka 205.

Genesis 11:32 in English

Genesis 11:32 · Berean Standard Bible

Terah lived 205 years, and he died in Haran.

Context

30Sarai alikuwa tasa, hakuwa na watoto. 31Tera akamchukua Abramu mwanawe, Loti mwana wa Harani mwanawe, na Sarai mkwewe, mke wa Abramu mwanawe, wakatoka kwa pamoja katika Uru ya Wakaldayo kwenda nchi ya Kanaani. Lakini walipofika Harani, wakaishi huko. 32Tera alikufa huko Harani akiwa na miaka 205.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.