Native Bible

Genesis 11:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nahori alipokuwa na miaka ishirini na tisa, akamzaa Tera.

Genesis 11:24 in English

Genesis 11:24 · Berean Standard Bible

When Nahor was 29 years old, he became the father of Terah.

Context

22Serugi alipokuwa na miaka thelathini, akamzaa Nahori. 23Baada ya Serugi kumzaa Nahori, aliishi miaka 200, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. 24Nahori alipokuwa na miaka ishirini na tisa, akamzaa Tera. 25Baada ya Nahori kumzaa Tera, aliishi miaka 119, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. 26Tera alipokuwa na miaka sabini, akamzaa Abramu, Nahori na Harani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.