Mwanzo 11:22
Genesis 11:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Serugi alipokuwa na miaka thelathini, akamzaa Nahori.
Genesis 11:22 in English
Genesis 11:22 · Berean Standard Bible
When Serug was 30 years old, he became the father of Nahor.
Context
20Reu alipokuwa na miaka thelathini na miwili, akamzaa Serugi. 21Baada ya Reu kumzaa Serugi, aliishi miaka 207, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. 22Serugi alipokuwa na miaka thelathini, akamzaa Nahori. 23Baada ya Serugi kumzaa Nahori, aliishi miaka 200, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. 24Nahori alipokuwa na miaka ishirini na tisa, akamzaa Tera.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.