Native Bible

Genesis 11:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Reu alipokuwa na miaka thelathini na miwili, akamzaa Serugi.

Genesis 11:20 in English

Genesis 11:20 · Berean Standard Bible

When Reu was 32 years old, he became the father of Serug.

Context

18Pelegi alipokuwa na miaka thelathini, akamzaa Reu. 19Baada ya Pelegi kumzaa Reu, aliishi miaka 209, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. 20Reu alipokuwa na miaka thelathini na miwili, akamzaa Serugi. 21Baada ya Reu kumzaa Serugi, aliishi miaka 207, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. 22Serugi alipokuwa na miaka thelathini, akamzaa Nahori.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.