Mwanzo 11:18
Genesis 11:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Pelegi alipokuwa na miaka thelathini, akamzaa Reu.
Genesis 11:18 in English
Genesis 11:18 · Berean Standard Bible
When Peleg was 30 years old, he became the father of Reu.
Context
16Eberi alipokuwa na miaka thelathini na minne, akamzaa Pelegi. 17Baada ya Eberi kumzaa Pelegi, aliishi miaka 430, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. 18Pelegi alipokuwa na miaka thelathini, akamzaa Reu. 19Baada ya Pelegi kumzaa Reu, aliishi miaka 209, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. 20Reu alipokuwa na miaka thelathini na miwili, akamzaa Serugi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.