Native Bible

Genesis 11:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Eberi alipokuwa na miaka thelathini na minne, akamzaa Pelegi.

Genesis 11:16 in English

Genesis 11:16 · Berean Standard Bible

When Eber was 34 years old, he became the father of Peleg.

Context

14Shela alipokuwa na miaka thelathini, akamzaa Eberi. 15Shela baada ya kumzaa Eberi, aliishi miaka 403, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. 16Eberi alipokuwa na miaka thelathini na minne, akamzaa Pelegi. 17Baada ya Eberi kumzaa Pelegi, aliishi miaka 430, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. 18Pelegi alipokuwa na miaka thelathini, akamzaa Reu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.