Native Bible

Genesis 11:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Shela alipokuwa na miaka thelathini, akamzaa Eberi.

Genesis 11:14 in English

Genesis 11:14 · Berean Standard Bible

When Shelah was 30 years old, he became the father of Eber.

Context

12Wakati Arfaksadi alipokuwa na miaka thelathini na mitano, akamzaa Shela. 13Baada ya Arfaksadi kumzaa Shela, aliishi miaka 403, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. 14Shela alipokuwa na miaka thelathini, akamzaa Eberi. 15Shela baada ya kumzaa Eberi, aliishi miaka 403, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. 16Eberi alipokuwa na miaka thelathini na minne, akamzaa Pelegi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.