Native Bible

Genesis 11:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati Arfaksadi alipokuwa na miaka thelathini na mitano, akamzaa Shela.

Genesis 11:12 in English

Genesis 11:12 · Berean Standard Bible

When Arphaxad was 35 years old, he became the father of Shelah.

Context

10Hivi ndivyo vizazi vya Shemu. Miaka miwili baada ya gharika, Shemu alipokuwa na miaka 100, akamzaa Arfaksadi. 11Baada ya kumzaa Arfaksadi, Shemu aliishi miaka 500, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. 12Wakati Arfaksadi alipokuwa na miaka thelathini na mitano, akamzaa Shela. 13Baada ya Arfaksadi kumzaa Shela, aliishi miaka 403, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. 14Shela alipokuwa na miaka thelathini, akamzaa Eberi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.