Mwanzo 1:4
Genesis 1:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mungu akaona ya kuwa nuru ni njema, ndipo Mungu akatenganisha nuru na giza.
Genesis 1:4 in English
Genesis 1:4 · Berean Standard Bible
And God saw that the light was good, and He separated the light from the darkness.
Context
2Wakati huu dunia ilikuwa haina umbo, tena ilikuwa tupu. Giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji, naye Roho wa Mungu alikuwa ametulia juu ya maji. 3Mungu akasema, “Iwepo nuru,” nayo nuru ikawepo. 4Mungu akaona ya kuwa nuru ni njema, ndipo Mungu akatenganisha nuru na giza. 5Mungu akaiita nuru “mchana,” na giza akaliita “usiku.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya kwanza. 6Mungu akasema, “Iwepo nafasi kati ya maji igawe maji na maji.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.