Native Bible

Genesis 1:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mungu akaiita nuru “mchana,” na giza akaliita “usiku.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya kwanza.

Genesis 1:5 in English

Genesis 1:5 · Berean Standard Bible

God called the light “day,” and the darkness He called “night.” And there was evening, and there was morning—the first day.*

Context

3Mungu akasema, “Iwepo nuru,” nayo nuru ikawepo. 4Mungu akaona ya kuwa nuru ni njema, ndipo Mungu akatenganisha nuru na giza. 5Mungu akaiita nuru “mchana,” na giza akaliita “usiku.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya kwanza. 6Mungu akasema, “Iwepo nafasi kati ya maji igawe maji na maji.” 7Kwa hiyo Mungu akafanya nafasi, akatenganisha maji yaliyo chini ya hiyo nafasi na maji yaliyo juu yake. Ikawa hivyo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.