Native Bible

Genesis 1:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mungu akasema, “Iwepo nuru,” nayo nuru ikawepo.

Genesis 1:3 in English

Genesis 1:3 · Berean Standard Bible

And God said, “Let there be light,” * and there was light.

Context

1Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia. 2Wakati huu dunia ilikuwa haina umbo, tena ilikuwa tupu. Giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji, naye Roho wa Mungu alikuwa ametulia juu ya maji. 3Mungu akasema, “Iwepo nuru,” nayo nuru ikawepo. 4Mungu akaona ya kuwa nuru ni njema, ndipo Mungu akatenganisha nuru na giza. 5Mungu akaiita nuru “mchana,” na giza akaliita “usiku.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya kwanza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.