Native Bible

Genesis 1:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati huu dunia ilikuwa haina umbo, tena ilikuwa tupu. Giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji, naye Roho wa Mungu alikuwa ametulia juu ya maji.

Genesis 1:2 in English

Genesis 1:2 · Berean Standard Bible

Now the earth was formless and void, and darkness was over the surface of the deep. And the Spirit of God was hovering over the surface of the waters.

Context

1Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia. 2Wakati huu dunia ilikuwa haina umbo, tena ilikuwa tupu. Giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji, naye Roho wa Mungu alikuwa ametulia juu ya maji. 3Mungu akasema, “Iwepo nuru,” nayo nuru ikawepo. 4Mungu akaona ya kuwa nuru ni njema, ndipo Mungu akatenganisha nuru na giza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.