Wagalatia 5:8
Galatians 5:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ushawishi wa namna hiyo haukutokana na yule anayewaita.
Galatians 5:8 in English
Galatians 5:8 · Berean Standard Bible
Such persuasion does not come from the One who calls you.
Context
6Kwa maana ndani ya Kristo Yesu, kutahiriwa au kutokutahiriwa hakuleti tofauti, bali lililo muhimu ni imani itendayo kazi kwa njia ya upendo. 7Mlikuwa mkipiga mbio vizuri. Ni nani aliyewazuia msiitii kweli? 8Ushawishi wa namna hiyo haukutokana na yule anayewaita. 9“Chachu kidogo huchachua donge zima.” 10Nina hakika katika Bwana kwamba hamtakuwa na msimamo mwingine. Mtu anayewachanganya anastahili adhabu, hata awe nani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.