Native Bible

Galatians 5:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana ndani ya Kristo Yesu, kutahiriwa au kutokutahiriwa hakuleti tofauti, bali lililo muhimu ni imani itendayo kazi kwa njia ya upendo.

Galatians 5:6 in English

Galatians 5:6 · Berean Standard Bible

For in Christ Jesus neither circumcision nor uncircumcision has any value. All that matters is faith, expressed through love.

Context

4Ninyi mnaotafuta kuhesabiwa haki kwa njia ya sheria mmetengwa na Kristo, mko mbali na neema ya Mungu. 5Kwa maana, kwa njia ya Roho kwa imani, tunangojea kwa shauku tumaini la haki. 6Kwa maana ndani ya Kristo Yesu, kutahiriwa au kutokutahiriwa hakuleti tofauti, bali lililo muhimu ni imani itendayo kazi kwa njia ya upendo. 7Mlikuwa mkipiga mbio vizuri. Ni nani aliyewazuia msiitii kweli? 8Ushawishi wa namna hiyo haukutokana na yule anayewaita.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.