Wagalatia 5:4
Galatians 5:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninyi mnaotafuta kuhesabiwa haki kwa njia ya sheria mmetengwa na Kristo, mko mbali na neema ya Mungu.
Galatians 5:4 in English
Galatians 5:4 · Berean Standard Bible
You who are trying to be justified by the law have been severed from Christ; you have fallen away from grace.
Context
2Sikilizeni! Mimi, Paulo, nawaambieni kwamba kama mkikubali kutahiriwa, basi Kristo hatawafaidia chochote. 3Namshuhudia tena kila mtu anayekubali kutahiriwa kwamba inampasa kushika sheria yote. 4Ninyi mnaotafuta kuhesabiwa haki kwa njia ya sheria mmetengwa na Kristo, mko mbali na neema ya Mungu. 5Kwa maana, kwa njia ya Roho kwa imani, tunangojea kwa shauku tumaini la haki. 6Kwa maana ndani ya Kristo Yesu, kutahiriwa au kutokutahiriwa hakuleti tofauti, bali lililo muhimu ni imani itendayo kazi kwa njia ya upendo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.