Wagalatia 5:7
Galatians 5:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mlikuwa mkipiga mbio vizuri. Ni nani aliyewazuia msiitii kweli?
Galatians 5:7 in English
Galatians 5:7 · Berean Standard Bible
You were running so well. Who has obstructed you from obeying the truth?
Context
5Kwa maana, kwa njia ya Roho kwa imani, tunangojea kwa shauku tumaini la haki. 6Kwa maana ndani ya Kristo Yesu, kutahiriwa au kutokutahiriwa hakuleti tofauti, bali lililo muhimu ni imani itendayo kazi kwa njia ya upendo. 7Mlikuwa mkipiga mbio vizuri. Ni nani aliyewazuia msiitii kweli? 8Ushawishi wa namna hiyo haukutokana na yule anayewaita. 9“Chachu kidogo huchachua donge zima.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.