Native Bible

Galatians 5:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Chachu kidogo huchachua donge zima.”

Galatians 5:9 in English

Galatians 5:9 · Berean Standard Bible

A little leaven works through the whole batch of dough.

Context

7Mlikuwa mkipiga mbio vizuri. Ni nani aliyewazuia msiitii kweli? 8Ushawishi wa namna hiyo haukutokana na yule anayewaita. 9“Chachu kidogo huchachua donge zima.” 10Nina hakika katika Bwana kwamba hamtakuwa na msimamo mwingine. Mtu anayewachanganya anastahili adhabu, hata awe nani. 11Lakini ndugu zangu, kama mimi bado ninahubiri kuhusu kutahiriwa, kwa nini bado ninateswa? Katika hiyo hali basi, kwazo la msalaba limeondolewa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.