Native Bible

Galatians 5:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nina hakika katika Bwana kwamba hamtakuwa na msimamo mwingine. Mtu anayewachanganya anastahili adhabu, hata awe nani.

Galatians 5:10 in English

Galatians 5:10 · Berean Standard Bible

I am confident in the Lord that you will take no other view. The one who is troubling you will bear the judgment, whoever he may be.

Context

8Ushawishi wa namna hiyo haukutokana na yule anayewaita. 9“Chachu kidogo huchachua donge zima.” 10Nina hakika katika Bwana kwamba hamtakuwa na msimamo mwingine. Mtu anayewachanganya anastahili adhabu, hata awe nani. 11Lakini ndugu zangu, kama mimi bado ninahubiri kuhusu kutahiriwa, kwa nini bado ninateswa? Katika hiyo hali basi, kwazo la msalaba limeondolewa. 12Laiti hao wanaowavuruga wangejihasi wao wenyewe!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.