Wagalatia 5:12
Galatians 5:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Laiti hao wanaowavuruga wangejihasi wao wenyewe!
Galatians 5:12 in English
Galatians 5:12 · Berean Standard Bible
As for those who are agitating you, I wish they would proceed to emasculate themselves!
Context
10Nina hakika katika Bwana kwamba hamtakuwa na msimamo mwingine. Mtu anayewachanganya anastahili adhabu, hata awe nani. 11Lakini ndugu zangu, kama mimi bado ninahubiri kuhusu kutahiriwa, kwa nini bado ninateswa? Katika hiyo hali basi, kwazo la msalaba limeondolewa. 12Laiti hao wanaowavuruga wangejihasi wao wenyewe! 13Ndugu zangu, ninyi mliitwa ili mwe huru, hivyo msitumie uhuru wenu kama fursa ya kufuata tamaa za mwili, bali tumikianeni ninyi kwa ninyi kwa upendo. 14Kwa maana sheria yote hukamilika katika amri moja: “Mpende jirani yako kama nafsi yako.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.