Native Bible

Galatians 5:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana sheria yote hukamilika katika amri moja: “Mpende jirani yako kama nafsi yako.”

Galatians 5:14 in English

Galatians 5:14 · Berean Standard Bible

The entire law is fulfilled in a single decree: “Love your neighbor as yourself.”*

Context

12Laiti hao wanaowavuruga wangejihasi wao wenyewe! 13Ndugu zangu, ninyi mliitwa ili mwe huru, hivyo msitumie uhuru wenu kama fursa ya kufuata tamaa za mwili, bali tumikianeni ninyi kwa ninyi kwa upendo. 14Kwa maana sheria yote hukamilika katika amri moja: “Mpende jirani yako kama nafsi yako.” 15Kama mkiumana na kutafunana, angalieni, msije mkaangamizana. 16Kwa hiyo nasema, enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.