Wagalatia 3:5
Galatians 3:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, Mungu huwapa Roho wake na kufanya miujiza katikati yenu kwa sababu mnatii sheria, au kwa sababu mnaamini kile mlichosikia?
Galatians 3:5 in English
Galatians 3:5 · Berean Standard Bible
Does God lavish His Spirit on you and work miracles among you because you practice the law, or because you hear and believe?
Context
3Je, ninyi ni wajinga kiasi hicho? Baada ya kuanza kwa Roho, je, sasa mwataka kumalizia katika mwili? 4Je, mlipata mateso kiasi hicho bure? Ni kama kweli yalikuwa bure! 5Je, Mungu huwapa Roho wake na kufanya miujiza katikati yenu kwa sababu mnatii sheria, au kwa sababu mnaamini kile mlichosikia? 6Kama vile “Abrahamu alimwamini Mungu na ikahesabiwa kwake kuwa haki.” 7Fahamuni basi kwamba wale walio na imani, hao ndio watoto wa Abrahamu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.