Wagalatia 3:4
Galatians 3:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, mlipata mateso kiasi hicho bure? Ni kama kweli yalikuwa bure!
Galatians 3:4 in English
Galatians 3:4 · Berean Standard Bible
Have you suffered so much for nothing, if it really was for nothing?
Context
2Nataka nijifunze neno moja kutoka kwenu: Je, mlipokea Roho wa Mungu kwa kushika sheria, au kwa kuyaamini yale mliyosikia? 3Je, ninyi ni wajinga kiasi hicho? Baada ya kuanza kwa Roho, je, sasa mwataka kumalizia katika mwili? 4Je, mlipata mateso kiasi hicho bure? Ni kama kweli yalikuwa bure! 5Je, Mungu huwapa Roho wake na kufanya miujiza katikati yenu kwa sababu mnatii sheria, au kwa sababu mnaamini kile mlichosikia? 6Kama vile “Abrahamu alimwamini Mungu na ikahesabiwa kwake kuwa haki.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.