Wagalatia 3:2
Galatians 3:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nataka nijifunze neno moja kutoka kwenu: Je, mlipokea Roho wa Mungu kwa kushika sheria, au kwa kuyaamini yale mliyosikia?
Galatians 3:2 in English
Galatians 3:2 · Berean Standard Bible
I would like to learn just one thing from you: Did you receive the Spirit by works of the law, or by hearing with faith?
Context
1Ninyi Wagalatia wajinga! Ni nani aliyewaroga? Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele yenu kwamba amesulubiwa. 2Nataka nijifunze neno moja kutoka kwenu: Je, mlipokea Roho wa Mungu kwa kushika sheria, au kwa kuyaamini yale mliyosikia? 3Je, ninyi ni wajinga kiasi hicho? Baada ya kuanza kwa Roho, je, sasa mwataka kumalizia katika mwili? 4Je, mlipata mateso kiasi hicho bure? Ni kama kweli yalikuwa bure!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.