Native Bible

Galatians 3:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama vile “Abrahamu alimwamini Mungu na ikahesabiwa kwake kuwa haki.”

Galatians 3:6 in English

Galatians 3:6 · Berean Standard Bible

So also, “Abraham believed God, and it was credited to him as righteousness.”*

Context

4Je, mlipata mateso kiasi hicho bure? Ni kama kweli yalikuwa bure! 5Je, Mungu huwapa Roho wake na kufanya miujiza katikati yenu kwa sababu mnatii sheria, au kwa sababu mnaamini kile mlichosikia? 6Kama vile “Abrahamu alimwamini Mungu na ikahesabiwa kwake kuwa haki.” 7Fahamuni basi kwamba wale walio na imani, hao ndio watoto wa Abrahamu. 8Maandiko yakitabiri kwamba Mungu angewahesabia haki watu wa Mataifa kwa imani, alitangulia kumtangazia Abrahamu Injili akisema kwamba, “Kwa kupitia kwako mataifa yote yatabarikiwa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.