Native Bible

Galatians 3:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Fahamuni basi kwamba wale walio na imani, hao ndio watoto wa Abrahamu.

Galatians 3:7 in English

Galatians 3:7 · Berean Standard Bible

Understand, then, that those who have faith are sons of Abraham.

Context

5Je, Mungu huwapa Roho wake na kufanya miujiza katikati yenu kwa sababu mnatii sheria, au kwa sababu mnaamini kile mlichosikia? 6Kama vile “Abrahamu alimwamini Mungu na ikahesabiwa kwake kuwa haki.” 7Fahamuni basi kwamba wale walio na imani, hao ndio watoto wa Abrahamu. 8Maandiko yakitabiri kwamba Mungu angewahesabia haki watu wa Mataifa kwa imani, alitangulia kumtangazia Abrahamu Injili akisema kwamba, “Kwa kupitia kwako mataifa yote yatabarikiwa.” 9Kwa sababu hii, wale wote wanaoamini wanabarikiwa pamoja na Abrahamu, mtu wa imani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.