Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli:

Ezra 2:59 in English

Ezra 2:59 · Berean Standard Bible

The following came up from Tel-melah, Tel-harsha, Cherub, Addan,* and Immer, but could not prove that their families were descended from Israel:

Context

57wazao wa Shefatia, Hatili, Pokereth-Hasebaimu na Ami. 58Watumishi wa Hekalu wote na //wazao wa watumishi //wa Solomoni 392 59Wafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli: 60wazao wa //Delaya, Tobia na Nekoda 652 61Kutoka miongoni mwa makuhani: Wazao wa Hobaya, Hakosi, Barzilai (mtu aliyekuwa amemwoa binti wa Barzilai, Mgileadi, naye akaitwa kwa jina hilo).

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.