Ezra 2:58
Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watumishi wa Hekalu wote na //wazao wa watumishi //wa Solomoni 392
Ezra 2:58 in English
Ezra 2:58 · Berean Standard Bible
The temple servants and descendants of the servants of Solomon numbered 392 in all.
Context
56wazao wa Yaala, Darkoni, Gideli, 57wazao wa Shefatia, Hatili, Pokereth-Hasebaimu na Ami. 58Watumishi wa Hekalu wote na //wazao wa watumishi //wa Solomoni 392 59Wafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli: 60wazao wa //Delaya, Tobia na Nekoda 652
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.