Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wazao wa //Delaya, Tobia na Nekoda 652

Ezra 2:60 in English

Ezra 2:60 · Berean Standard Bible

the descendants of Delaiah, the descendants of Tobiah, and the descendants of Nekoda, 652 in all.

Context

58Watumishi wa Hekalu wote na //wazao wa watumishi //wa Solomoni 392 59Wafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli: 60wazao wa //Delaya, Tobia na Nekoda 652 61Kutoka miongoni mwa makuhani: Wazao wa Hobaya, Hakosi, Barzilai (mtu aliyekuwa amemwoa binti wa Barzilai, Mgileadi, naye akaitwa kwa jina hilo). 62Hawa walitafuta orodha za jamaa zao, lakini hawakuonekana humo, kwa hiyo waliondolewa kutoka kundi la makuhani kwa kuwa walihesabiwa kuwa najisi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.