Native Bible

Ezekiel 32:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitailowanisha nchi kwa damu yako inayotiririka njia yote hadi milimani, nayo mabonde yatajazwa na nyama yako.

Ezekiel 32:6 in English

Ezekiel 32:6 · Berean Standard Bible

I will drench the land with the flow of your blood, all the way to the mountains— the ravines will be filled.

Context

4Nitakutupa nchi kavu na kukuvurumisha uwanjani. Nitawafanya ndege wote wa angani watue juu yako na wanyama wote wa nchi watajishibisha nyama yako. 5Nitatawanya nyama yako juu ya milima na kujaza mabonde kwa mabaki yako. 6Nitailowanisha nchi kwa damu yako inayotiririka njia yote hadi milimani, nayo mabonde yatajazwa na nyama yako. 7Nitakapokuzimisha, nitafunika mbingu na kuzitia nyota zake giza; nitalifunika jua kwa wingu, nao mwezi hautatoa nuru yake. 8Mianga yote itoayo nuru angani nitaitia giza juu yako; nitaleta giza juu ya nchi yako, asema Bwana Mwenyezi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.