Native Bible

Exodus 6:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Ishari walikuwa Kora, Nefegi na Zikri.

Exodus 6:21 in English

Exodus 6:21 · Berean Standard Bible

The sons of Izhar were Korah, Nepheg, and Zichri.

Context

19Wana wa Merari walikuwa Mahli na Mushi. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Lawi kufuatana na orodha zao. 20Amramu akamwoa Yokebedi, shangazi yake, ambaye alimzalia Aroni na Mose. Amramu aliishi miaka 137. 21Wana wa Ishari walikuwa Kora, Nefegi na Zikri. 22Wana wa Uzieli walikuwa Mishaeli, Elisafani na Sithri. 23Aroni akamwoa Elisheba binti wa Aminadabu ndugu yake Nashoni, naye akamzalia Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.