Kutoka 6:20
Exodus 6:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Amramu akamwoa Yokebedi, shangazi yake, ambaye alimzalia Aroni na Mose. Amramu aliishi miaka 137.
Exodus 6:20 in English
Exodus 6:20 · Berean Standard Bible
And Amram married his father’s sister Jochebed, and she bore him Aaron and Moses. Amram lived 137 years.
Context
18Wana wa Kohathi walikuwa Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. Kohathi aliishi miaka 133. 19Wana wa Merari walikuwa Mahli na Mushi.
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Lawi kufuatana na orodha zao. 20Amramu akamwoa Yokebedi, shangazi yake, ambaye alimzalia Aroni na Mose. Amramu aliishi miaka 137. 21Wana wa Ishari walikuwa Kora, Nefegi na Zikri. 22Wana wa Uzieli walikuwa Mishaeli, Elisafani na Sithri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.