Native Bible

Exodus 6:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Uzieli walikuwa Mishaeli, Elisafani na Sithri.

Exodus 6:22 in English

Exodus 6:22 · Berean Standard Bible

The sons of Uzziel were Mishael, Elzaphan,* and Sithri.

Context

20Amramu akamwoa Yokebedi, shangazi yake, ambaye alimzalia Aroni na Mose. Amramu aliishi miaka 137. 21Wana wa Ishari walikuwa Kora, Nefegi na Zikri. 22Wana wa Uzieli walikuwa Mishaeli, Elisafani na Sithri. 23Aroni akamwoa Elisheba binti wa Aminadabu ndugu yake Nashoni, naye akamzalia Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari. 24Wana wa Kora walikuwa Asiri, Elikana na Abiasafu. Hawa walikuwa ndio koo za Kora.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.