Kutoka 6:19
Exodus 6:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Merari walikuwa Mahli na Mushi. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Lawi kufuatana na orodha zao.
Exodus 6:19 in English
Exodus 6:19 · Berean Standard Bible
The sons of Merari were Mahli and Mushi. These were the clans of the Levites according to their records.
Context
17Wana wa Gershoni kwa koo, walikuwa Libni na Shimei. 18Wana wa Kohathi walikuwa Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. Kohathi aliishi miaka 133. 19Wana wa Merari walikuwa Mahli na Mushi.
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Lawi kufuatana na orodha zao. 20Amramu akamwoa Yokebedi, shangazi yake, ambaye alimzalia Aroni na Mose. Amramu aliishi miaka 137. 21Wana wa Ishari walikuwa Kora, Nefegi na Zikri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.