Kutoka 6:17
Exodus 6:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Gershoni kwa koo, walikuwa Libni na Shimei.
Exodus 6:17 in English
Exodus 6:17 · Berean Standard Bible
The sons of Gershon were Libni and Shimei, by their clans.
Context
15Wana wa Simeoni walikuwa Yemueli, Yamini, Ohadi, Yakini, Sohari na Shauli mwana wa mwanamke Mkanaani. Hawa walikuwa ndio koo za Simeoni. 16Haya ndiyo majina ya wana wa Lawi kufuatana na orodha zao: Gershoni, Kohathi na Merari. Lawi aliishi miaka 137. 17Wana wa Gershoni kwa koo, walikuwa Libni na Shimei. 18Wana wa Kohathi walikuwa Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. Kohathi aliishi miaka 133. 19Wana wa Merari walikuwa Mahli na Mushi.
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Lawi kufuatana na orodha zao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.