Kutoka 6:18
Exodus 6:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Kohathi walikuwa Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. Kohathi aliishi miaka 133.
Exodus 6:18 in English
Exodus 6:18 · Berean Standard Bible
The sons of Kohath were Amram, Izhar, Hebron, and Uzziel. Kohath lived 133 years.
Context
16Haya ndiyo majina ya wana wa Lawi kufuatana na orodha zao: Gershoni, Kohathi na Merari. Lawi aliishi miaka 137. 17Wana wa Gershoni kwa koo, walikuwa Libni na Shimei. 18Wana wa Kohathi walikuwa Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. Kohathi aliishi miaka 133. 19Wana wa Merari walikuwa Mahli na Mushi.
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Lawi kufuatana na orodha zao. 20Amramu akamwoa Yokebedi, shangazi yake, ambaye alimzalia Aroni na Mose. Amramu aliishi miaka 137.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.