Kutoka 40:3
Exodus 40:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Weka Sanduku la Ushuhuda ndani yake na ulifunike kwa pazia. Ingiza meza na kupanga vitu vyake juu yake.
Exodus 40:3 in English
Exodus 40:3 · Berean Standard Bible
Put the ark of the Testimony * in it and screen off the ark with the veil.
Context
1Kisha Bwana akamwambia Mose: 2“Simika Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania, katika siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza. 3Weka Sanduku la Ushuhuda ndani yake na ulifunike kwa pazia. Ingiza meza na kupanga vitu vyake juu yake. 4Kisha ingiza kinara cha taa na uweke taa zake juu yake. 5Weka madhabahu ya dhahabu ya kufukizia uvumba mbele ya Sanduku la Ushuhuda kisha uweke pazia kwenye lango la Maskani ya Mungu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.