Native Bible

Exodus 40:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Simika Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania, katika siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza.

Exodus 40:2 in English

Exodus 40:2 · Berean Standard Bible

“On the first day of the first month you are to set up the tabernacle, the Tent of Meeting.

Context

1Kisha Bwana akamwambia Mose: 2“Simika Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania, katika siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza. 3Weka Sanduku la Ushuhuda ndani yake na ulifunike kwa pazia. Ingiza meza na kupanga vitu vyake juu yake. 4Kisha ingiza kinara cha taa na uweke taa zake juu yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.