Native Bible

Exodus 40:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Bwana akamwambia Mose:

Exodus 40:1 in English

Exodus 40:1 · Berean Standard Bible

Then the LORD said to Moses,

Context

1Kisha Bwana akamwambia Mose: 2“Simika Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania, katika siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza. 3Weka Sanduku la Ushuhuda ndani yake na ulifunike kwa pazia. Ingiza meza na kupanga vitu vyake juu yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.