Native Bible

Exodus 40:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha ingiza kinara cha taa na uweke taa zake juu yake.

Exodus 40:4 in English

Exodus 40:4 · Berean Standard Bible

Then bring in the table and set out its arrangement; bring in the lampstand as well, and set up its lamps.

Context

2“Simika Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania, katika siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza. 3Weka Sanduku la Ushuhuda ndani yake na ulifunike kwa pazia. Ingiza meza na kupanga vitu vyake juu yake. 4Kisha ingiza kinara cha taa na uweke taa zake juu yake. 5Weka madhabahu ya dhahabu ya kufukizia uvumba mbele ya Sanduku la Ushuhuda kisha uweke pazia kwenye lango la Maskani ya Mungu. 6“Weka madhabahu ya sadaka za kuteketezwa mbele ya lango la Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.