Native Bible

Exodus 40:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Weka madhabahu ya sadaka za kuteketezwa mbele ya lango la Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania;

Exodus 40:6 in English

Exodus 40:6 · Berean Standard Bible

Place the altar of burnt offering in front of the entrance to the tabernacle, the Tent of Meeting.

Context

4Kisha ingiza kinara cha taa na uweke taa zake juu yake. 5Weka madhabahu ya dhahabu ya kufukizia uvumba mbele ya Sanduku la Ushuhuda kisha uweke pazia kwenye lango la Maskani ya Mungu. 6“Weka madhabahu ya sadaka za kuteketezwa mbele ya lango la Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania; 7weka sinia kati ya Hema la Kukutania na madhabahu, na uweke maji ndani yake. 8Fanyiza ua kuzunguka maskani na uweke pazia penye ingilio la ua.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.