Native Bible

Exodus 40:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

weka sinia kati ya Hema la Kukutania na madhabahu, na uweke maji ndani yake.

Exodus 40:7 in English

Exodus 40:7 · Berean Standard Bible

And place the basin between the Tent of Meeting and the altar, and put water in it.

Context

5Weka madhabahu ya dhahabu ya kufukizia uvumba mbele ya Sanduku la Ushuhuda kisha uweke pazia kwenye lango la Maskani ya Mungu. 6“Weka madhabahu ya sadaka za kuteketezwa mbele ya lango la Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania; 7weka sinia kati ya Hema la Kukutania na madhabahu, na uweke maji ndani yake. 8Fanyiza ua kuzunguka maskani na uweke pazia penye ingilio la ua. 9“Chukua mafuta ya upako, ipake Maskani ya Mungu pamoja na kila kitu kilichomo ndani yake; iweke wakfu pamoja na vitu vyote vilivyomo ndani mwake, nayo itakuwa takatifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.