Native Bible

Exodus 40:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Weka madhabahu ya dhahabu ya kufukizia uvumba mbele ya Sanduku la Ushuhuda kisha uweke pazia kwenye lango la Maskani ya Mungu.

Exodus 40:5 in English

Exodus 40:5 · Berean Standard Bible

Place the gold altar of incense in front of the ark of the Testimony, and hang the curtain at the entrance to the tabernacle.

Context

3Weka Sanduku la Ushuhuda ndani yake na ulifunike kwa pazia. Ingiza meza na kupanga vitu vyake juu yake. 4Kisha ingiza kinara cha taa na uweke taa zake juu yake. 5Weka madhabahu ya dhahabu ya kufukizia uvumba mbele ya Sanduku la Ushuhuda kisha uweke pazia kwenye lango la Maskani ya Mungu. 6“Weka madhabahu ya sadaka za kuteketezwa mbele ya lango la Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania; 7weka sinia kati ya Hema la Kukutania na madhabahu, na uweke maji ndani yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.