Kutoka 40:28
Exodus 40:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha akaweka pazia kwenye ingilio la Maskani ya Mungu.
Exodus 40:28 in English
Exodus 40:28 · Berean Standard Bible
Then he put up the curtain at the entrance to the tabernacle.
Context
26Mose akaweka madhabahu ya dhahabu ndani ya Hema la Kukutania mbele ya pazia 27na kufukiza uvumba wenye harufu nzuri, kama Bwana alivyomwagiza. 28Kisha akaweka pazia kwenye ingilio la Maskani ya Mungu. 29Mose akaweka madhabahu ya sadaka za kuteketezwa karibu na ingilio la Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania, na kutoa juu yake sadaka za kuteketezwa na sadaka za nafaka kama Bwana alivyomwagiza. 30Akaweka sinia kati ya Hema la Kukutania na madhabahu, akaweka maji ndani yake kwa ajili ya kunawia,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.