Kutoka 40:27
Exodus 40:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
na kufukiza uvumba wenye harufu nzuri, kama Bwana alivyomwagiza.
Exodus 40:27 in English
Exodus 40:27 · Berean Standard Bible
and he burned fragrant incense on it, just as the LORD had commanded him.
Context
25na kuziweka taa mbele za Bwana, kama Bwana alivyomwagiza. 26Mose akaweka madhabahu ya dhahabu ndani ya Hema la Kukutania mbele ya pazia 27na kufukiza uvumba wenye harufu nzuri, kama Bwana alivyomwagiza. 28Kisha akaweka pazia kwenye ingilio la Maskani ya Mungu. 29Mose akaweka madhabahu ya sadaka za kuteketezwa karibu na ingilio la Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania, na kutoa juu yake sadaka za kuteketezwa na sadaka za nafaka kama Bwana alivyomwagiza.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.