Native Bible

Exodus 40:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mose akaweka madhabahu ya sadaka za kuteketezwa karibu na ingilio la Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania, na kutoa juu yake sadaka za kuteketezwa na sadaka za nafaka kama Bwana alivyomwagiza.

Exodus 40:29 in English

Exodus 40:29 · Berean Standard Bible

He placed the altar of burnt offering near the entrance to the tabernacle, the Tent of Meeting, and offered on it the burnt offering and the grain offering, just as the LORD had commanded him.

Context

27na kufukiza uvumba wenye harufu nzuri, kama Bwana alivyomwagiza. 28Kisha akaweka pazia kwenye ingilio la Maskani ya Mungu. 29Mose akaweka madhabahu ya sadaka za kuteketezwa karibu na ingilio la Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania, na kutoa juu yake sadaka za kuteketezwa na sadaka za nafaka kama Bwana alivyomwagiza. 30Akaweka sinia kati ya Hema la Kukutania na madhabahu, akaweka maji ndani yake kwa ajili ya kunawia, 31Naye Mose, Aroni na wanawe wakayatumia kwa kunawia mikono na miguu yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.