Native Bible

Exodus 40:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akaweka sinia kati ya Hema la Kukutania na madhabahu, akaweka maji ndani yake kwa ajili ya kunawia,

Exodus 40:30 in English

Exodus 40:30 · Berean Standard Bible

He placed the basin between the Tent of Meeting and the altar and put water in it for washing;

Context

28Kisha akaweka pazia kwenye ingilio la Maskani ya Mungu. 29Mose akaweka madhabahu ya sadaka za kuteketezwa karibu na ingilio la Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania, na kutoa juu yake sadaka za kuteketezwa na sadaka za nafaka kama Bwana alivyomwagiza. 30Akaweka sinia kati ya Hema la Kukutania na madhabahu, akaweka maji ndani yake kwa ajili ya kunawia, 31Naye Mose, Aroni na wanawe wakayatumia kwa kunawia mikono na miguu yao. 32Wakanawa kila walipoingia katika Hema la Kukutania au walipoikaribia madhabahu kama Bwana alivyomwagiza Mose.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.