Native Bible

Exodus 40:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakanawa kila walipoingia katika Hema la Kukutania au walipoikaribia madhabahu kama Bwana alivyomwagiza Mose.

Exodus 40:32 in English

Exodus 40:32 · Berean Standard Bible

They washed whenever they entered the Tent of Meeting or approached the altar, just as the LORD had commanded Moses.

Context

30Akaweka sinia kati ya Hema la Kukutania na madhabahu, akaweka maji ndani yake kwa ajili ya kunawia, 31Naye Mose, Aroni na wanawe wakayatumia kwa kunawia mikono na miguu yao. 32Wakanawa kila walipoingia katika Hema la Kukutania au walipoikaribia madhabahu kama Bwana alivyomwagiza Mose. 33Kisha Mose akafanya ua kuizunguka Maskani ya Mungu na madhabahu, pia akaweka pazia kwenye ingilio la huo ua. Hivyo Mose akaikamilisha kazi. 34Ndipo wingu likafunika Hema la Kukutania, na utukufu wa Bwana ukaijaza Maskani ya Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.