Native Bible

Exodus 40:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mose akaweka madhabahu ya dhahabu ndani ya Hema la Kukutania mbele ya pazia

Exodus 40:26 in English

Exodus 40:26 · Berean Standard Bible

Moses placed the gold altar in the Tent of Meeting, in front of the veil,

Context

24Akaweka kinara cha taa ndani ya Hema la Kukutania mkabala na meza upande wa kusini mwa Maskani ya Mungu 25na kuziweka taa mbele za Bwana, kama Bwana alivyomwagiza. 26Mose akaweka madhabahu ya dhahabu ndani ya Hema la Kukutania mbele ya pazia 27na kufukiza uvumba wenye harufu nzuri, kama Bwana alivyomwagiza. 28Kisha akaweka pazia kwenye ingilio la Maskani ya Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.